Vile vile mwanadada huyu ambaye kwa sasa ni balozi wa kutetea na kuwakilisha maswala ya watu wanaoishi na HIV na Ukimwi nchini Kenya anasema kuwa : "Watu waache kupima HIV au Ukimwi kwa macho ...