News

Watu 79 wakiwemo watoto 19, wamefariki dunia baada ajali ya basi iliyotokea katika jimbo la Herat, kaskazini magharibi mwa ...
Uokoaji ukiendelea katika mgodi wa Kinyambwiga eneo la Walwa wilayani Bunda baada ya fundi kufukiwa na kifusi akiwa anafanya ...
Pacha walioungana, Abby na Brittany Hensel wametumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yao wakiishi kwa mshikamano wa kipekee, ...
Inawezekana ni moja ya ahadi itakayohitaji utaalamu na gharama kubwa kuitekeleza lakini Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), kimeahidi kutengeneza vinu vya nyuklia endapo ...
Miili ya watu wawili waliofukiwa na kifusi kwenye mgodi uliopo katika Kijiji cha Mwongozo, halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, imeopolewa usiku wa kuamkia leo Agosti 21, 2025 na hivyo ...
Zaidi ya wakulima 5,000 kutoka katika kata tatu za Butundwe, Kagu na Nyawanzaja zilizopo Wilaya ya Geita mkoani Geita wanatarajia kunufaika na kilimo rafiki kitakachowasaidia kukabiliana ...
Kocha Ruben Amorim wa Manchester United ameshindwa kuwashawishi mabosi kumsajili kipa Emiliano Martinez, imeelezwa.
Baada ya kukaa majuu kwa ngwe nyingi, kfyatufyatu si nikajitia kiherehere na mbambamba kwenda kujinoma Dar––si––Salama.
Chelsea imeongeza jitihada kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Argentina, Alejandro Garnacho, 21, kutoka Manchester United dirisha hili.
Nyota wa Kimataifa wa Uruguay Luis Diaz amesema alizungumza na kiungo ghali wa Liverpool, Florian Wirtz kuhusu Bundesliga kabla ya kukubali dili la kujiunga na Bayern Munich.
Mrufani huyo na wenzake wawili (siyo warufani katika rufaa hiyo) ambao ni Deodatus Patrick na aliyekuwa Ofisa wa Jeshi la ...
Katika harakati za kushawishi wadhamini kwa mtiania wa urais wa Tanzania wa Chaumma, Salum Mwalimu, mtiania mwenza wake, ...