News

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40), maarufu Dk Manguruwe, amefikishwa siku ...
Shule ya Msingi Miembesaba iliyopo Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani, inakabiliwa na upungufu wa matundu ya vyoo kwa ajili ya wanafunzi, hivyo imewaangukia wadau ikiomba msaada wa kujengewa ...
Baada ya kusakamwa kutovaa suti kwenye mkutano wa Rais Donald Trump uliopita, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy hatimaye katika mkutano wa jana wa kutafuta amani ya Ukraine na ...
Tanzania inalenga kukuza tija katika zao la korosho, miongoni mwa mipango yake ni kuzalisha na kubangua tani milioni moja ifikapo mwaka 2030. Kwa sasa wastani wa uzalishaji wa korosho ni ...
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Wegero wamesema mradi huo utakuwa mkombozi mkubwa kwao kutokana na changamoto za upatikanaji wa huduma za afya.
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju amekemea tabia ya baadhi ya mahakimu kuwanyima dhamana watuhumiwa ambao kesi zao ...
Watu watatu wamefariki dunia huku zaidi ya watu 100 wakipoteza makazi baada ya mafuriko makubwa kuyakumba maeneo ya Mbale na ...
Kampuni ya Mookh Africa imewaomba radhi mashabiki wa soka nchini Kenya baada ya mfumo wake wa mtandaoni kushindwa kufanya kazi ipasavyo wakati tiketi za michuano ya CHAN zilipoanza kuuzwa ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amezindua mpango kazi wa kitaifa wa kutekeleza Ajenda ya Wanawake, ...