KWA Mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, idadi ya vijana nchini ni asilimia 34.5 ya Watanzania wote na kati yao, ...
Angola imekuwa ikijaribu kuwa mpatanishi kwa lengo kufikia hatua ya kusitisha mapigano la kudumu na kupunguza mvutano kati ya ...
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo amewataka watendaji na watumishi wa wizara hiyo kuzingatia uadilifu ...
SERIKALI imesema itaendelea kumuenzi Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ...
THAMANI ya vitega uchumi vya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) imeongezeka kwa asilimia 92 kwa miaka minne, ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema maboresho ya Sera ya Ardhi ya Mwaka 1995, yatawezesha kufanyika mambo sita ikiwa ni pamoja ...
DAR ES SALAAM: NAIBU Kamishina wa Jeshi la Polisi (DCP) Mkondya leo, Machi 18, 2025, ameongoza waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika, Dar es Salaam, ...
Akizungumza kuhusu umuhimu wa Elimu ya Ufundi Stadi, Majaliwa amesema takwimu za Shirika la Kazi Duniani (ILO) zinaonesha takribani asilimia 70 ya ajira zote ni ajira binafsi na kwa watu wenye elimu ...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya Nyanza Road Works kuongeza ...
KILIMANJARO: JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu 211 kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu, ikiwemo wizi, kupatikana ...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeshauri serikali kujenga majengo maalumu kwa maafisa ustawi.
"Kabla ya mafunzo haya, nilikuwa na uelewa mdogo kuhusu mienendo ya soko na usimamizi wa fedha," amesema Flora, mfanyabiahara ...