Sherehe za sikukuu, mbali na kutoa fursa kwa watoto kucheza na kufurahi, pia ni wakati mzuri wa kutoa mafunzo kuhusu ...
Wakati viongozi wa Chadema wakiendelea kuinadi kampeni ya ‘No Reforms No Election’ katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, ...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezitaka jamii za kifugaji kuhakikisha zinawapeleka watoto ...
Wakati leo Machi 25, 2025 ikiwa ni siku ya mwisho ya uboreshaji wa daftari la mpigakura kwa Mkoa wa Dar es Salaam, baadhi ya wananchi wamesema hawakupata taarifa ya uongezwaji wa siku mbili, ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela ...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa nafasi mbalimbali pamoja na kupangia vituo vya kazi mabalozi ambapo Balozi ...
Wizara ya Afya Zanzibar imetiliana saini mkataba wa makubaliano na Taasisi ya Aga Khan kuhusu ushirikiano katika mapambano ...
Kwa wastani kiwango cha upotevu maji katika mwaka wa fedha 2023/24 kilikuwa asilimia 36.8 sawa na Sh114.12 bilioni.
Ili kufanikisha hilo, vijana na wanawake wanahimizwa kujiamini, kuondoa hofu na woga na kushiriki kikamilifu katika siasa, ...
Miaka ya 1990 hadi 2000 mabasi ya Ngorika yalitoa ushindani kibiashara katika njia hiyo lakini yalipotea barabarani.
Katika hali isiyo ya kawaida Kituo cha Polisi cha Riandira Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya kimefungwa kwa muda usiojulikana ...
Dk Stephano amesema asilimia kubwa ya walengwa wakifikia hatua hiyo huathirika kisaikolojia na kukosa hisia ya tendo la ndoa ...
一部の結果でアクセス不可の可能性があるため、非表示になっています。
アクセス不可の結果を表示する